Wanawake / Viatu
Heels zenye pambo
TZS 55,000
Jozi moja ya heels zenye pambo mbele. Chagua rangi unayopenda.
Delivery
Chagua eneo au share location kwenye checkout. Utaona gharama kabla ya kulipa.
Unahitaji msaada?
Wasiliana nasi kwa taarifa za bidhaa hii.